Christina Shusho Ft The Dreamers – Teta Nao » NGmp3.com

0


Christina Shusho Ft The Dreamers – Teta Nao

Descargar mp3 de Christina Shusho Ft The Dreamers – Teta Nao

Música gospel Artista Christina Shusho Ft Los Soñadores lanzó un nuevo single titulado «Teta Nao» junto con el video musical oficial.
Escuche y descargue este último sencillo a continuación y comparta sus pensamientos sobre el sonido


DESCARGA LA CANCIÓN

Eeeh Bwana utete nao wanao teta nami
Upigane nao wanao pigana nami
Eeeh Bwana utete nao wanao teta nami
Upigane nao wanao pigana nami
Ushike ngao na kinga usimame nami unisaidie
Vuta nosotros mkuki uwapige wanaonifuatia
Uambie nafsi yangu mimi ni wokovu wako
Wananiuliza mambo nisiyoyajua

Eeh Bwana utete nao wanaoteta nami
Pigana nao wanaopigana nami
Eeh Bwana utete nao wanaoteta nami
Pigana nao wanaopigana nami

Wahaibishwe wafedheheshwe
Warudishwe nyuma wanaotafuta nafsi yangu
Wafadhaishwe wawe kama makapi
Mbele yao pepo malaika wa Bwana waangushe chini

Wananilipa mabaya badala ya mema
Kutwa kucha waniwinda ili niteseke ee
Niko ndani yako niweke eeh Mungu
Ubavuni mwako nikumbatie Jehová wangu
Mkononi mwako niweke eeh Mungu
Ubavuni mwako nikumbatie Jehová wangu

Eeh Bwana utete nao wanaoteta nami
Upigane nao wanaopigana nami
Eeh Bwana utete nao wanaoteta nami
Upigane nao wanaopigana nami

Njia yao iwe giza na utelezi
Malaika wa Bwana akiwafuatia
Uharibifu uwapate kwa ghafla
Wa uharibifu aanguke ndani yake
Mimi bure wasinisemange bure wasinibonge
Na uovu wao aloficha umnase mwenyewe
Bila sababu amenichambia shimo nafsi yangu
Mifupa yangu yote itasema
«¿Bwana ni nani aliye kama wewe?»
Na nafsi yangu itamfurahia Bwana

Wapendeza Bwana wapendeza eeh Bwana wapendeza
Katika hili najua utatenda
Nitetee Bwana nitetee eeh Bwana nitetee

¿Como esta publicación? Deja un comentario aquiTambién podría gustarte
Deja una respuesta

Su dirección de correo electrónico no será publicada.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More